30 Katika eneo la kabila la Aseri walipewa Misali pamoja na mbuga zake za malisho, Abudoni pamoja na mbuga zake za malisho,
Yarmuti pamoja na mbuga zake za malisho na Eni-Ganimu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.
Helkati pamoja na mbuga zake za malisho na Rehobu pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji waliyopewa ni mine.