Katika nusu ya kabila la Manase walipewa miji ya Aneri pamoja na mashamba yake ya malisho, na Bileamu pamoja na mashamba yake ya malisho. Hii ndiyo miji iliyopewa kwa jamaa za ukoo wa Kohati.
Waliwashambulia vilevile Wakanana walioishi katika muji wa Hebroni ambao zamani uliitwa Kiriati-Arba, wakashinda makabila ya Sesai, Ahimani na Talmayi.