Biblia Todo Logo
Διαδικτυακή Βίβλος

- Διαφημίσεις -




Yoshua 21:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

10 wazao wa kuhani Haruni, waliokuwa jamaa za ukoo wa Kohati ambaye alikuwa wa kabila la Lawi. Sehemu yao walipata kwanza maana kura yao ilitokea kwanza.

Δείτε το κεφάλαιο αντίγραφο




Yoshua 21:10
10 Σταυροειδείς Αναφορές  

Ayaloni pamoja na mashamba yake ya malisho, na Gati-Rimoni pamoja na mashamba yake ya malisho.


Wana wa Kohati walikuwa: Amuramu, Izihari, Hebroni na Uzieli. Kohati aliishi miaka mia moja makuni tatu na mitatu.


Wana wa Kohati kwa kufuata jamaa zao: Amuramu, Isihari, Hebroni na Uzieli.


Jamaa za Waamuramu, Waisari, Wahebroni na Wauzieli zilitokana na Kohati; hizi ndizo zilizokuwa jamaa za Wakohati.


Uhesabu watu wa ukoo wa Kohati, toka katika ukoo za Lawi, kufuatana na jamaa zao na ukoo zao;


Wakapewa Kiriati-Arba, ni kusema Hebroni (Arba alikuwa baba ya Anaki), katika milima ya Yuda, pamoja na mbuga zilizoizunguka.


Kura ya kwanza ilizipata jamaa za ukoo wa Kohati. Kati ya wazao wa kuhani Haruni walipewa kwa kura, miji iliyokuwa katika maeneo ya makabila ya Yuda, Simeoni, na Benjamina. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na mitatu.


Haya ndiyo majina ya miji kutoka kwenye maeneo ya kabila la Yuda na Simeoni ambayo ilitolewa kwa


Ακολουθησε μας:

Διαφημίσεις


Διαφημίσεις