Yoshua 15:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Kutoka hapo, uliendelea mpaka Debiri kwenye bonde la Akori na kaskazini kuelekea Gilgali, karibu na mwinuko wa Adumimu ambao uko upande wa kusini wa kijito, kisha ukaelekea kwenye chemichemi za Eni-Semesi na kuishia Eni-Rogeli. Δείτε το κεφάλαιο |