Walawi 9:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Musa akamwambia Haruni: Twaa mwana-ngombe dume kwa ajili ya sadaka ya kuondoa zambi na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, nyama wote wasikuwe na kilema. Kisha uwatoe sadaka mbele ya Yawe. Δείτε το κεφάλαιο |