Biblia Todo Logo
Διαδικτυακή Βίβλος

- Διαφημίσεις -




Walawi 7:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

34 Yawe amewaagiza watu wa Israeli watenge kilali hicho na muguu huo wa nyama wa sadaka zao za amani, wamupe kuhani Haruni na wazao wake, maana sehemu hiyo imewekewa kwa hao makuhani milele.

Δείτε το κεφάλαιο αντίγραφο




Walawi 7:34
12 Σταυροειδείς Αναφορές  

Kisha utatwaa kilali cha yule kondoo wa kumutakasa Haruni na kufanya kitambulisho cha kunitolea mimi Yawe. Nacho kitakuwa sehemu yako.


Utawafunga mikaba katika viuno na kuwavalisha kofia zao. Hivi ndivyo utakavyowatakasa Haruni na wana wake kuwa makuhani. Hao watakuwa makuhani siku zote kwa ajili ya sharti la siku zote.


Ndiyo maana munapaswa kufuata sharti hili siku zote na pahali popote mutakapokaa. Musikule hata kidogo mafuta wala damu.


Muguu huo utakuwa mali ya kuhani anayekuwa muzao wa Haruni anayetolea damu ya sadaka za amani na mafuta yake.


Kila sadaka ya matoleo yote matakatifu ya Waisraeli watakayomuletea kuhani, itakuwa yake.


Halafu kuhani atavitikisa vitu hivyo kama sadaka ya kutikisa mbele ya Yawe; vyote hivi ni sehemu takatifu kwa kuhani, pamoja na kilali kilichotikiswa na paja lililotolewa kama sadaka. Nyuma ya hayo yote, munaziri anaweza kunywa divai.


Halafu Haruni atawaweka hao mbele yangu kama sadaka ya kutikiswa kutoka kwa Waisraeli wanitumikie.


“Na hii itakuwa haki ya makuhani kutoka kwa watu wanaotolea sadaka ikuwe ni ngombe au kondoo: watamupa kuhani muguu wa mbele, mashavu na matumbotumbo.


Ακολουθησε μας:

Διαφημίσεις


Διαφημίσεις