Walawi 16:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Akamwambia: Umwambie ndugu yako Haruni asiingie katika Pahali Patakatifu nyuma ya pazia wakati usiokubaliwa. Asiingie pahali pale maana ndipo nitakapotokea katika wingu juu ya kiti cha rehema. Asipotii, atakufa. Δείτε το κεφάλαιο |