Waebrania 10:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Kwanza Kristo alisema: “Haukutaka wala haukupendezwa na sadaka na matoleo, wala sadaka za kuteketezwa kwa moto wala sadaka za kusamehewa zambi.” (Alisema vile ingawa sadaka hizo zote zilitolewa kufuatana na maagizo ya Sheria.) Δείτε το κεφάλαιο |