Biblia Todo Logo
Διαδικτυακή Βίβλος

- Διαφημίσεις -




Nehemia 12:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

9 Nao Bakubukia na Uno warafiki zao, walisimama wakielekeana nao katika ibada.

Δείτε το κεφάλαιο αντίγραφο




Nehemia 12:9
4 Σταυροειδείς Αναφορές  

Yesua alizaa Yoyakimu, Yoyakimu alizaa Eliasibu, Eliasibu alizaa Yoyada, Yoyada alizaa Yonatani, Yonatani alizaa Yadua.


Viongozi wa Walawi Hasabia, Serebia, Yesua mwana wa Kadimieli walisimama kuelekeana na wandugu zao walipangwa kwa kuimba nyimbo za kusifu na kushukuru, kufuatana na amri ya mufalme Daudi, mutu wa Mungu.


Walawi walikuwa: Yesua, Binui, Kadimieli, Serebia, Yuda na Matania, ambaye alishugulika na usimamizi wa nyimbo za shukrani akishirikiana na ndugu zake.


Ακολουθησε μας:

Διαφημίσεις


Διαφημίσεις