Biblia Todo Logo
Διαδικτυακή Βίβλος

- Διαφημίσεις -




Nehemia 10:35 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

35 Sisi wote, watu wote, makuhani na Walawi tutapiga kura kila mwaka kwa kuchagua ukoo utakaoleta kuni za kuteketeza sadaka juu ya mazabahu ya Yawe, Mungu wetu, kufuatana na Sheria.

Δείτε το κεφάλαιο αντίγραφο




Nehemia 10:35
13 Σταυροειδείς Αναφορές  

Nikaagiza matoleo ya kuni kufanyika katika wakati unaopaswa na malimbuko wakati wake. Ee Mungu wangu, unikumbuke kwa ajili ya haya yote na unijalie mema.


Mazao ya kwanza ya shamba lako utayaleta katika nyumba yangu mimi Yawe, Mungu wako. Usipike mwana-kondoo au mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.


Mazao ya kwanza ya shamba yako utayaleta katika nyumba yangu mimi Yawe, Mungu wako. Usipike mwana-kondoo au mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.


Sehemu ya kwanza ya malimbuko yenu na vya matoleo yenu ya kila aina vitakuwa kwa ajili ya makuhani. Tena mutawapa sehemu ya kwanza ya unga wenu, kusudi mulete baraka juu ya nyumba zenu.


Moto wa mazabahu lazima uendelee kuwaka wala usizimike. Kila siku asubui kuhani ataweka kuni kwenye moto huo na juu yake atapanga sadaka ya kuteketezwa, mbele ya kuteketeza mafuta ya sadaka ya amani.


Moto utaendelea kuwaka siku zote juu ya mazabahu bila kuzimika hata kidogo.


Ninakupa vitu vyote vizuri vinavyotokana na malimbuko ambayo Waisraeli wananitolea: mafuta safi, divai na ngano.


Wewe, wana wako na wazao wako wote mutatumika kama vile makuhani; wandugu zako wengine wa kabila lako watafanya kazi pamoja nawe mbele ya hema la kuchunga vibao vya agano.


utatwaa malimbuko ya mazao utakayovuna katika inchi Yawe, Mungu wenu, anayokupa, na kuyaweka katika kikapu mpaka pale pahali ambapo Yawe, Mungu wenu, amechagua pawe makao yake.


Ακολουθησε μας:

Διαφημίσεις


Διαφημίσεις