Biblia Todo Logo
Διαδικτυακή Βίβλος

- Διαφημίσεις -




Mwanzo 26:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

17 Basi, Isaka akaondoka kule, akapiga kambi yake katika bonde la Gerari, akakaa kule.

Δείτε το κεφάλαιο αντίγραφο




Mwanzo 26:17
2 Σταυροειδείς Αναφορές  

Halafu Abimeleki akamwambia Isaka: “Ondoka kwetu, maana wewe umetuzidi nguvu.”


Isaka akachimba vile visima vilivyokuwa vimechimbwa wakati Abrahamu baba yake alipokuwa muzima, visima ambavyo Wafilistini walikuwa wameziba nyuma ya kifo cha Abrahamu. Akavipa majina yaleyale baba yake aliyovipa.


Ακολουθησε μας:

Διαφημίσεις


Διαφημίσεις