Maombolezo 2:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Yawe amefanya yale aliyokusudia, ametimiza yale aliyoagiza. Kama alivyopanga tangu kale, ameangamiza bila huruma yoyote. Amewafanya waadui wafurahie azabu yako, amewatukuza mashujaa wa waadui zako. Δείτε το κεφάλαιο |