Maombolezo 2:14 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200214 Manabii wako wamekuonea maono madanganyifu. Hawakufichua wazi uovu wako kusudi wapate kukurudishia hali yako ya mbele. Lakini walikuonea maono ya uongo na ya kupotosha. Δείτε το κεφάλαιο |