Malaki 2:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Watu wa Yuda wamekosa uaminifu kwa Mungu na kutenda machukizo katika Israeli na katika Yerusalema. Wamechafua hekalu la Yawe analolipenda. Tena wameoa wanawake wanaoabudu miungu ya kigeni. Δείτε το κεφάλαιο |