Luka 6:17 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200217 Yesu akashuka toka kilima pamoja na wanafunzi wake, na kusimama kwenye uwanja. Pale kulikuwa wanafunzi wake pamoja na kundi kubwa sana la watu waliotoka Yerusalema, katika Yudea yote na pande za miji Tiro na Sidona pembeni ya bahari. Δείτε το κεφάλαιο |