14 Saa ilipotimia, Yesu akaikaa kula chakula pamoja na wanafunzi wake.
Ilipokuwa magaribi, Yesu akaikaa kula chakula pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.
Ilipokuwa magaribi, Yesu akafika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili.
Mitume wakarudi kwa Yesu, na kumwelezea mambo yote waliyofanya na yote waliyofundisha.
Wakaenda na kukuta vitu vyote sawa vile Yesu alivyowaambia. Nao wakatayarisha karamu ya Pasaka.
Akawaambia: “Nimetamani sana kula karamu hii ya Pasaka pamoja nanyi mbele ya kuteswa kwangu!