5 Wageni watakuwa hapo kuwachungia makundi yenu ya nyama; watawalimia na kuwatunzia mizabibu yenu.
Lakini aliacha wamoja wa watu waliokuwa wamasikini kabisa katika inchi. Aliwaacha watunze mizabibu na kulima mashamba.
Wageni watakaoshikamana nami Yawe, kwa kunitumikia na kwa kupenda jina langu, na kuwa watumishi wangu, wote watakaoshika siku ya Sabato bila kuichafua, watu watakaofuata agano langu,