Isaya 52:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Katika hali ya sasa ninapata faida gani kuwaona watu wangu wamepelekwa katika utumwa? –Ni ujumbe wa Yawe. Hao wanaowatawala wanajitapa. Nalo jina langu linaendelea kuzarauliwa kila siku. –Ni ujumbe wa Yawe. Δείτε το κεφάλαιο |