Isaya 15:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Moyo wangu unaugua kwa ajili ya inchi ya Moabu; wakimbizi wake wanakimbilia Zoari, wanakimbia mpaka Egilati-Selisiya. Wanapanda njia ya kwenda Luhiti wakilia, katika njia kwenda Horonaimu wanatoa kilio cha maangamizi. Δείτε το κεφάλαιο |