7 Wagersoni wakapewa magari mawili na ngombe dume wane, kwa kadiri ya kazi yao,
Uwaambie vilevile wapeleke kutoka hapa magari ya kukokotwa ya kuwaleta watoto wao wachanga na wake zao. Wala wasikose kumuleta baba yao.
Basi, Musa akatwaa magari na ngombe dume akawapa Walawi.