Biblia Todo Logo
Διαδικτυακή Βίβλος

- Διαφημίσεις -




Hesabu 26:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

9 na wana wake Nemueli, Datani na Abiramu. Hawa wawili: Datani na Abiramu, ndio waliokuwa wamechaguliwa, lakini wakamupinga Musa na Haruni, na kujiunga na wafuasi wa Kora wakati walipomwasi Yawe.

Δείτε το κεφάλαιο αντίγραφο




Hesabu 26:9
5 Σταυροειδείς Αναφορές  

Halafu udongo ukafunguka ukamumeza Datani, na kumuzika Abiramu na kundi lake lote;


Hao viongozi waliochaguliwa kati ya watu wa Israeli walikuwa vilevile viongozi wa jeshi.


Ole kwao! Maana wamefuata njia ya Kaina. Kwa ajili ya kupata mali wameanguka katika kosa Balama alilofanya. Wameangamia kwa sababu wameasi kama vile Kora alivyoasi.


Ακολουθησε μας:

Διαφημίσεις


Διαφημίσεις