Hesabu 15:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20023 mukinitolea mimi Yawe sadaka kutoka katika mifugo yenu, sadaka ya kuteketezwa au sadaka ya kutimiza kiapo au kutoa sadaka ya mapenzi au sadaka ya wakati wa sikukuu zenu zilizowekwa, na kufanya harufu nzuri ya kunipendeza mimi Yawe, Δείτε το κεφάλαιο |