Biblia Todo Logo
Διαδικτυακή Βίβλος

- Διαφημίσεις -




Hesabu 15:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

11 Hivi ndivyo vitu vitakavyotolewa pamoja na kila mwana-ngombe dume, kondoo dume au mbuzi.

Δείτε το κεφάλαιο αντίγραφο




Hesabu 15:11
5 Σταυροειδείς Αναφορές  

Toa litre moja ya divai kama sadaka ya kinywaji kwa kila mwana-kondoo wa sadaka ya kuteketezwa kwa moto au sadaka ingine.


pamoja na sadaka ya kinywaji ya litre mbili za divai, na kufanya harufu nzuri ya sadaka ya kumupendeza Yawe.


Hesabu ya vitu hivyo itaongezwa kulingana na hesabu ya nyama watakaotolewa.


Muwaambie Waisraeli wote pamoja kwamba katika siku ya kumi ya mwezi huu, mutatwaa mwana-kondoo mumoja kwa kila jamaa moja.


Mutatoa vitu hivi zaidi ya ile sadaka ya kuteketezwa ya mwezi mupya na sadaka yake ya vyakula, na sadaka ya kila siku ya kuteketezwa pamoja na sadaka yake ya vyakula na sadaka zake za kinywaji kama vile inavyoagizwa. Itakuwa harufu nzuri yenye kupendeza; ni sadaka kwa Yawe iliyoteketezwa kwa moto.


Ακολουθησε μας:

Διαφημίσεις


Διαφημίσεις