Esteri 9:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200216 Wayuda waliokuwa katika majimbo nao vilevile wakajitayarisha kuyalinda maisha yao. Wakaokolewa kutoka kwa waadui zao, wakawaua watu yapata elfu kumi na tano, lakini hawakunyanganya mali zao. Δείτε το κεφάλαιο |