2 Samweli 4:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Daudi akawaamuru vijana wake, nao wakawaua. Wakawakata mikono na miguu. Halafu wakawatundika juu ya muti pembeni ya kisima kule Hebroni. Lakini walikichukua kichwa cha Isiboseti na kukizika katika kaburi la Abeneri kule Hebroni. Δείτε το κεφάλαιο |