2 Samweli 3:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Basi, Abeneri akatuma wajumbe kwa Daudi kule Hebroni wamwambie: “Inchi hii ni mali ya nani? Fanya agano na mimi, nami nitakusaidia kuifanya Israeli yote ikuwe chini yako.” Δείτε το κεφάλαιο |