2 Samweli 19:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Halafu Yoabu aliingia katika nyumba ya mufalme, akamwambia: “Leo umetupatisha haya sisi watumishi wako wote ambao leo tumeyaokoa maisha yako, maisha ya watoto wako wanaume, na maisha ya watoto wako wanawake, maisha ya wake zako na maisha ya wahabara zako. Δείτε το κεφάλαιο |