2 Samweli 17:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Zaidi ya hayo, Husayi akamwambia: “Wewe unajua kwamba baba yako na watu wake ni mashujaa na kwamba wamekasirikishwa kama dubu dike aliyenyanganywa watoto wake katika mbuga. Zaidi ya hayo, unajua kwamba baba yako ni bingwa wa vita. Yeye hatakaa usiku kucha pamoja na watu wake. Δείτε το κεφάλαιο |
Wale mashujaa wake watatu walitoka, wakapenya katikati ya kambi ya kundi la waaskari wa Wafilistini, wakaenda na kuchota maji katika kisima cha Betelehemu, karibu na mulango wa muji, wakamuletea Daudi. Lakini Daudi alikataa kuyakunywa, na pahali pa kuyakunywa, akayamwanga chini kama vile sadaka kwa Yawe,