1 Samweli 8:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Tangu nilipowatoa Misri, wameniacha mimi, wamekuwa wakiitumikia miungu mingine mpaka leo. Sasa hayo matendo ambayo wamekuwa wakinitendea mimi, ndiyo wanayokutendea na wewe. Δείτε το κεφάλαιο |