1 Samweli 7:7 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20027 Wafilistini waliposikia kwamba Waisraeli wamekusanyika kule Misipa, wakubwa watano wa Wafilistini wakaenda kuwashambulia. Waisraeli waliposikia juu ya jambo lile waliwaogopa Wafilistini. Δείτε το κεφάλαιο |