1 Samweli 23:24 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200224 Basi, wakaondoka kwenda Zifu, wakimutangulia Saulo. Wakati ule, Daudi na watu wake walikuwa katika mbuga za Maoni, katika bonde la Araba upande wa kusini wa jangwa. Δείτε το κεφάλαιο |