1 Samweli 22:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Kisha nabii Gadi akamwambia Daudi: “Usikae hapa katika makimbilio. Ondoka mara moja uende katika inchi ya Yuda.” Basi, Daudi akaondoka, akaenda katika pori la Hereti. Δείτε το κεφάλαιο |