1 Samweli 17:52 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200252 Halafu watu wa Israeli na watu wa Yuda walianza kupiga kelele za ushindi, wakawafuatilia Wafilistini mpaka Gati, kwenye milango ya muji wa Ekroni, hata Wafilistini walioumizwa katika vita walikufa katika njia tangu Saraimu mpaka Gati na Ekroni. Δείτε το κεφάλαιο |