1 Samweli 14:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Wafilistini waliokuwa kwenye kambi wakamwita Yonatani na kijana aliyemubebea silaha: “Mukuje huku kwetu, nasi tutawaonyesha kitu.” Yonatani akamwambia yule kijana aliyemubebea silaha: “Unifuate. Yawe amewatia katika mikono ya Waisraeli.” Δείτε το κεφάλαιο |