8 Saulo alimungojea Samweli kwa muda wa siku saba, kama vile Samweli alivyosema. Lakini Samweli hakukuja kule Gilgali na watu walianza kumwacha Saulo.
Basi, Amasa akaenda kuwaita watu wa Yuda. Lakini akachelewa kurudi katika wakati ule aliopangiwa na mufalme.
Utanitangulia kwenda Gilgali, pahali ambapo nitakukuta na kutoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani. Utaningojea pale kwa muda wa siku saba mpaka nikuje na kukuonyesha la kufanya.”