1 Samweli 13:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 nikawaza kama Wafilistini watakuja kunishambulia kule Gilgali. Tena nilikuwa bado sijaomba rehema ya Yawe. Halafu nikalazimishwa kutolea mimi mwenyewe sadaka ya kuteketezwa.” Δείτε το κεφάλαιο |