1 Samweli 10:21 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200221 Akalileta mbele kabila la Benjamina, kulingana na ukoo zake, na ukoo wa Matiri ukachaguliwa kwa kura. Mwisho akauleta mbele ukoo wa Matiri, na Saulo mwana wa Kisi akachaguliwa kwa kura. Lakini walipomutafuta hakupatikana. Δείτε το κεφάλαιο |