19 Ninakulilia wewe, ee Yawe, moto umemaliza malisho katika mbuga, ndimi za moto zimeteketeza miti katika mashamba.