Online Bible

- Reklamy -




Yoeli 2:20 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

20 Nitawaondoa hao waadui wanaotoka kaskazini, nitawafukuza mpaka katika jangwa; waaskari wa mbele nitawatupa katika bahari ya Chumvi na wale wa nyuma katika bahari ya Mediteranea. Watatoa uvundo na harufu mbaya, hao ambao wamefanya maovu makubwa.

Viz kapitola kopírovat




Yoeli 2:20

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy