Online Bible

- Reklamy -




Yoeli 2:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Hiyo ni siku ya giza na huzuni; siku ya mawingu na giza nene. Jeshi kubwa linakaribia kama giza linalofunikia milima. Namna hiyo haijapata kuwa hata kidogo wala haitaonekana tena katika vizazi vyote vinavyokuja.

Viz kapitola kopírovat




Yoeli 2:2

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy