Online Bible

- Reklamy -




Yoane 19:31 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

31 Siku ile ilikuwa ya matayarisho ya siku ya Sabato iliyofuata. Kwa sababu hii Wayuda hawakutaka maiti za wale waliotundikwa zibaki juu ya misalaba kwa maana siku ile ilikuwa kubwa sana. Kwa hiyo wakamwomba Pilato ruhusa kwamba miguu ya wale waliotundikwa ivunjwe kusudi wakufe mbio na maiti zao ziondoshwe.

Viz kapitola kopírovat




Yoane 19:31

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy