Online Bible

- Reklamy -




Yoane 18:28 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

28 Na kulipokucha asubui mapema, wakamutosha Yesu kwa Kayafa na kumupeleka kwenye nyumba ya liwali. Lakini Wayuda wenyewe hawakuingia ndani ya nyumba ya liwali, kwa maana kwa njia ile wangejichafua na kutoweza kuwa tayari kula karamu ya Pasaka.

Viz kapitola kopírovat




Yoane 18:28

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy