Online Bible

- Reklamy -




Yoane 13:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

1 Kulikuwa kumebaki siku moja mbele ya kutimia kwa sikukuu ya Pasaka. Yesu alijua kwamba saa yake ya kutoka katika dunia na kurudi kwa Baba yake imetimia. Yeye alikuwa akiwapenda watu wake waliokuwa katika dunia, na akaendelea kuwapenda mpaka mwisho.

Viz kapitola kopírovat




Yoane 13:1

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy