Online Bible

- Reklamy -




Ufunuo 1:9 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

9 Mimi ni ndugu yenu Yoane. Kwa njia ya kuungana na Yesu, ninashirikiana nanyi katika mateso, katika ufalme wake na katika kuvumilia. Mimi nilikuwa nimepelekwa katika kisanga kinachoitwa Patimo, kwa sababu nilihubiri Neno la Mungu na ukweli ulioshuhudiwa na Yesu.

Viz kapitola kopírovat




Ufunuo 1:9

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy