15 Enyi wakaaji wa Maresa, Mungu atawaletea tena adui atakayewateka. Waongozi waheshimiwa wa Israeli watakimbilia ndani ya pango kule Adulamu.