Online Bible

- Reklamy -




Marko 14:43 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

43 Yesu alipokuwa hajamaliza kusema, mara moja Yuda, mumoja wa wanafunzi kumi na wawili, akafika pamoja na kundi kubwa la watu wenye panga na magongo. Hawa wote walikuwa wametumwa na wakubwa wa makuhani, walimu wa Sheria, na wasimamizi wa watu.

Viz kapitola kopírovat




Marko 14:43

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy