Online Bible

- Reklamy -




Marko 12:28 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

28 Mwalimu mumoja wa Sheria alikuwa pale Yesu alipobishana na Wasadukayo. Yeye alitambua kwamba Yesu aliwajibu vizuri. Basi akamujongelea na kumwuliza: “Ni amri gani inayokuwa ya kwanza katikati ya amri zote?”

Viz kapitola kopírovat




Marko 12:28

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy