Online Bible

- Reklamy -




Esteri 8:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

5 “Ikikupendeza, ewe mufalme, na kama nimepata kukubaliwa mbele yako, ukiona ni vizuri nami nikikupendeza, tafazali, toa tangazo la kuvunja mipango ambayo Hamani alikuwa ameamuru itimizwe. Mipango hiyo ni ile ya mwana wa Hamedata, wa uzao wa Agagi, aliyopanga kwa kuwaangamiza Wayuda wote katika majimbo yote.

Viz kapitola kopírovat




Esteri 8:5

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy