Online Bible

- Reklamy -




Esteri 8:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

11 Kwa njia ya barua hizi mufalme akawaruhusu Wayuda katika kila muji kukusanyika kwa kuyalinda maisha yao. Walikuwa na ruhusa ya kuharibu, kuua bila huruma na kuangamiza kundi lolote la watu au jimbo, lenye kuwashambulia kwa silaha pamoja na wanawake na watoto wao, na kunyanganya mali zao.

Viz kapitola kopírovat




Esteri 8:11

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy