Online Bible

- Reklamy -




Esteri 1:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

6 Pahali pale kulikuwa kumepambwa kwa mapazia ya pamba ya rangi nyeupe na vitambaa vya rangi ya samawi. Mapazia hayo yalikuwa yamefungiwa pete za feza kwa kamba za kitani safi nyekundu-nyeusi, na kutundikwa kwenye nguzo za mawe ya marimari. Viti vya zahabu na feza vilikuwa vimewekwa kwenye sakafu iliyotengenezwa kwa mawe ya rangi ya marimari, nyekundu, nyeusi, manjano na nyeusi.

Viz kapitola kopírovat




Esteri 1:6

Následuj nás:

Reklamy


Reklamy